-mseto_
Member
- Jul 30, 2017
- 92
- 47
Habari,
Now ndo time ya kuomba vyuo kwa waliomaliza six, watu wa diploma sorry sina uzoef, naandiika uzi huu naamini utapata chochote cha kukusaidia, mana nilipita huko manusura nifanye machaguo sio.
Swala la ajira ni la kidunia wengi huomba kozi kwa kigezo cha ajira na mkopo, ni sababu nzuri lakini nashauri usome kitu unachokipenda usichaguliwe, itakusaidia kujiajiri na kua na plan za maisha, kwamfano unapenda maswala ya media, usisite kuomba mass communion japo ajira zake utata, ilimrad una passion hutafeli trust me kati ya hizo fursa chache utakua mmoja wapo
Kwa watoto wa kajamba nane nashauri kuchukua kozi ambayo umechunguza ukaona kupata mkopo ni chance kubwa, inategemea na combination yako kidato cha sita mana kuna watu hawana machaguo hafit kwenye kozi za kibabe.
Kuna watu wana two ya 12 nao watajikuta vipanga wataomba vyuo gombaniwa, mfano mtu anaomba udsm na mzumbe af anakausha, yakirud majina umetemwa kote na vyuo vingine vimejaa second selection utajikuta uko teku, ushaur wangu omba vyuo kadhaa max vinne usione aib vijana tatizo mnafake maisha kuonekana umeomba vyuo vingi unaon soo utakae baki home ni ww nameshuhudia watu wa pcm wamekosa chuo nakubaki home kwajili hiyo na hawakuamini kilichotokea,
Wengi hamzijui kozi kwa bahati mbaya hata tcu hawana vitabu vinavyoelezea upana na fursa za kozi husika wengi mnauliza kwa waliotangulia, nao walivo vilaza Hawatoi maelezo yaliyonyooka, unajikuta unasoma kozi aliyopendekeza jamaa yako usome,
Mfumo wakuomba kozi kadhaa uchaguliwe moja ni wakijinga sana, mtu mmoja ana passion ngapi ? Ilitakiw mtu aombe kozi moja tu anayopenda, ila kwasab mfumo hauruhusu nashauri kozi unayoipenda ijaze mara mbili.
Karibuni chuo kikuu mengi mnayasikia kuhusu university sitawasimulia pia, mje mshuhudie, mana kuna watu wanapanga kuja kutafuta umaarufu, madem, kuvaa sana nk. Lakin mambo yako tofaut kidog