NATOA HUDUMA YA KUOMBA MKOPO HESLB 2019/2020 NA KUOMBA VYUO VYOTE.

charles ogopa tapeli

Senior Member
Jul 15, 2013
122
49
Wasalaam wanajamvi.

Napenda kuwapongeza wanafunzi wote kwa hatua muhimu mliyofikia ya kumaliza vyuo,kidato cha sita na wengine mliokosa kuomba miaka iliyopita.

Natoa huduma ya kuomba mikopo HESLB 2019/2020. Nina uzoefu wa kutosha wa takribani miaka 7 ya kazi hii. Wengi tumewasaidia kuomba na kwa kupitia vigezo vilivyotolewa na bodi na kumshirikisha Mungu wamepata mikopo hiyo.

Tunafanya kazi kwa muda mchache sana ikiwa ni lisaa limoja kwa yule mwenye viambatanisho vyote. Pia tunatoa elimu ya kitaalam kuhusu ujazaji wa maombi hayo bure kabisa.

Ikiwa sambamba na kutuma maombi ya vyuo vya diploma,cheti na degree
Tunahudumia watu wote wenye sifa pia mikoa yote kwa ufanisi mkubwa. Ni muda sahihi wa kupata huduma ulipo ya uhakika na ubora pasipo kupanga foreni kwenye internet cafe.

Bei ya huduma hii ni nafuu kabisa ili kumuwezesha mtoto wa masikini aweze kuomba mkopo huo na kuupata. Tunahakikisha majina ya wateja wetu hawapo katika wale ambao huwa wamekosea kutuma maombi

Napatikana kwa namba hizi
0621153240
Nipigie muda wowote nikupatie huduma yenye ufanisi.
 
ii) Waombaji wapya ambao kwa sasa wanaendelea na masomo, lazima wawe wamehitimu elimu ya kidato cha sita (ACSEE) au stashahada (diploma) ndani ya miaka mitano, kuanzia mwaka 2015 hadi 2019. (iii) Waombaji wote waliodahiliwa kusoma shahada mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2019/2020 wanapaswa wawe wamemaliza ACSEE/Stashahada au sifa nyingine linganishi katika kipindi cha miaka mitatu, yaani 2017-2019.
Bado haujajibu swali
 
Oya ivi kwa wale diploma ambao matokeo yao hayajatoka wanaruhusiwa kuomba? Au ni mpaka yatokee, na kama wanaruhusiwa sehemu ya ku-attach matokeo ya diploma watafanyaje?????
Wasalaam wanajamvi.

Napenda kuwapongeza wanafunzi wote kwa hatua muhimu mliyofikia ya kumaliza vyuo,kidato cha sita na wengine mliokosa kuomba miaka iliyopita.

Natoa huduma ya kuomba mikopo HESLB 2019/2020. Nina uzoefu wa kutosha wa takribani miaka 7 ya kazi hii. Wengi tumewasaidia kuomba na kwa kupitia vigezo vilivyotolewa na bodi na kumshirikisha Mungu wamepata mikopo hiyo.

Tunafanya kazi kwa muda mchache sana ikiwa ni lisaa limoja kwa yule mwenye viambatanisho vyote. Pia tunatoa elimu ya kitaalam kuhusu ujazaji wa maombi hayo bure kabisa.

Ikiwa sambamba na kutuma maombi ya vyuo vya diploma,cheti na degree
Tunahudumia watu wote wenye sifa pia mikoa yote kwa ufanisi mkubwa. Ni muda sahihi wa kupata huduma ulipo ya uhakika na ubora pasipo kupanga foreni kwenye internet cafe.

Bei ya huduma hii ni nafuu kabisa ili kumuwezesha mtoto wa masikini aweze kuomba mkopo huo na kuupata. Tunahakikisha majina ya wateja wetu hawapo katika wale ambao huwa wamekosea kutuma maombi

Napatikana kwa namba hizi
0621153240
Nipigie muda wowote nikupatie huduma yenye ufanisi.
 
Ninaswali, hv mfano hawa form6 waliomaliza juzi matokeo bado, sehemu ya kujaza matokeo ya kidato cha 6 watajaza nini??? Na kwa mtu ambae labda uwezekano wa kukipata cheti ni mgumu kutokana na madeni shule aliyomqliza anaweza kujaza copy ya result slip au inakaaje??
 
Diploma ni kama form six ambao matokeo hayajatoka.
Option huwa ni cheti cha form four na kuandika namba tu ya form six....Hua tuna fanya attachment ya cheti cha form four tu. Kwahiyo jitahidi uombe kama una uhakika utafaulu kwenda chuo
 
Ninaswali, hv mfano hawa form6 waliomaliza juzi matokeo bado, sehemu ya kujaza matokeo ya kidato cha 6 watajaza nini??? Na kwa mtu ambae labda uwezekano wa kukipata cheti ni mgumu kutokana na madeni shule aliyomqliza anaweza kujaza copy ya result slip au inakaaje??
Hakuna sehemu ya kujaza matokeo ya kidato cha sita ila tunatumia matokeo ya form four tu, matokeo huwa na umuhimu unapojaza vyuo na si kuomba mkopo.
Ila cheti cha form four wanahitaji original validity ya result slip ni mwaka mmoja tu.
 
Wasalaam wanajamvi.

Napenda kuwapongeza wanafunzi wote kwa hatua muhimu mliyofikia ya kumaliza vyuo,kidato cha sita na wengine mliokosa kuomba miaka iliyopita.

Natoa huduma ya kuomba mikopo HESLB 2019/2020. Nina uzoefu wa kutosha wa takribani miaka 7 ya kazi hii. Wengi tumewasaidia kuomba na kwa kupitia vigezo vilivyotolewa na bodi na kumshirikisha Mungu wamepata mikopo hiyo.

Tunafanya kazi kwa muda mchache sana ikiwa ni lisaa limoja kwa yule mwenye viambatanisho vyote. Pia tunatoa elimu ya kitaalam kuhusu ujazaji wa maombi hayo bure kabisa.

Ikiwa sambamba na kutuma maombi ya vyuo vya diploma,cheti na degree
Tunahudumia watu wote wenye sifa pia mikoa yote kwa ufanisi mkubwa. Ni muda sahihi wa kupata huduma ulipo ya uhakika na ubora pasipo kupanga foreni kwenye internet cafe.

Bei ya huduma hii ni nafuu kabisa ili kumuwezesha mtoto wa masikini aweze kuomba mkopo huo na kuupata. Tunahakikisha majina ya wateja wetu hawapo katika wale ambao huwa wamekosea kutuma maombi

Napatikana kwa namba hizi
0621153240
Nipigie muda wowote nikupatie huduma yenye ufanisi.
Uko wapi?
 
Back
Top Bottom