Kingine kuna watu hasa wanaume hawaweki bidii kujenga mahusiano anataka ayaone tu yanaelea mahusiano mazuri,uvumilivu hawanaa kbs mkipishana kauli tu ananuna weee mara michepuko anabadili kila uchao wakati ndani ya nyumba tu hakufurahishi,anajitembeza nje wanamchora tu,sio suluhisho, mahusiano mazuri lazma uyatengeneze kwa kumsoma na kumthamini mwenzi wako,umfurahishe umjali...una wanawake wa3 unategemea ninii