frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Wakuu habar? habari ya ofisi nyingi ilikuwa ni jaja.. nilishawai kueleza juu ya watu wanavyoingia bila tiketi uwanja wa taifa kwa sh 2000 tuuu getin/police.
Nashukuru TFF wamejali lalamiko langu na wadau wengine wamekuja na mfumo safi wa electronic no magumashi, ulisaidia sana kwani waliotengeneza tiketi fake walijulikana na kurudishwa gateni, ulinzi ulikuwa mkali sanaaa. lakini nimeona mbinu mpya juu ya mfumo mpya
1. Wauzaji tiketi ndani ya gari waliwapatia tiketi vijana wao za 5000 na kuziuza nje ya utaratibu sh 7000 - 8000 na baadaye kugawa 3000 Tiketi....kwani watazamaj walikuwa wakifika kwenye gari unaambiwa zipo za 20,000 nakuendelea..lazima utanunua nje ya utaratibu zile za 5000/8000 tuu (wameuza sanaa)
2. Kuna police moja karibu parking ya bodaboda gate la wilayani alikuwa anauza tiketi fake na real kwa bei juu alizochukua ndani ya gari ya uzaji (interested kweli)
3. Upande wa gate la kurasin kuna askar alikuwa anaingiza watu kwa 2000 tuuu unaruka gate/nyavu ukiingia chini ya ngaz ya juu unaweka pesa pale....(jamaa mbunifu sanaa kwan gate halikufunguliwa)
4. Style ya kutoka juu kwenda chini kwa 1000/2000 ilikuwepo kama kawaida.
5. Pia vijana wa ukaguzi hawauwa sharp sana.
Nikwa ufupi tuuu...ingawa changamoto bado zipo TFF fanyieni kazi haya matatizo ni kiutendaji.