Kwanini UDSM inawanyima usingizi kiasi hiki?Ni lazima tukiri kwamba UDSM Ni chuo chenye historia kubwa ambayo imekipatia heshima chuo hiki mbali na historia kuilinda hadhi na heshima huleta maana ya historia UDSM wameshindwa kumudu kuilinda hadhi na heshima ya chuo kwa sasa yafuatayo Ni machache ya SAUT na UDSM
Wanafunzi wa SAUT ni very competent kuliko wanafunzi wa UDSM
✓UDSM imeharibiwa na siasa waalimu Bora wameenda kwenye siasa bila kuandaa waalimu Bora wa kurithi
✓SAUT iko very strategic to the moment naibu waziri wa elimu alitamka mwenyewe alipofanya ziara pale SAUT nilimtazama kupitia runinga akitamka mwenyewe kwa mdomo wake kwamba SAUT kwa taaluma kwa Sasa iko Bora Sana Tanzania
✓Nenda school of law tazama idadi ya mawakili wanaomaliza wengi wao wamesoma chuo kipi,bila uongo wengi wanatoka SAUT
✓SAUT ina fundisha multi-skills na co-relating subjects kwa kozi anazosoma mwanafunzi kitu kinachomfanya mwanafunzi kua competent
UDSM kwa Sasa sio ile ya zamani CCM na siasa vimeimaliza UDSM
UDSM ilikua enzi hizo tulia ackson na Prof kabudi wanafundisha
Kilichobaki kwa Sasa ni jina na si hadhi ya UDSM
Ni lazima tukiri kwamba UDSM Ni chuo chenye historia kubwa ambayo imekipatia heshima chuo hiki mbali na historia kuilinda hadhi na heshima huleta maana ya historia UDSM wameshindwa kumudu kuilinda hadhi na heshima ya chuo kwa sasa yafuatayo Ni machache ya SAUT na UDSM

Naibu waziri wizara ya elimu amethibitisha Hilo wewe kenge wa jamii forum unapiga kelele kukataaOndoa upumbavu wako hapa. Unafananisha simba na nyau! Yaonekana hujielewi kabisa!
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naibu waziri wizara ya elimu amethibitisha Hilo wewe kenge wa jamii forum unapiga kelele kukataa
Juzi nilikua nafuatilia mashindano ya moot Court practice udsm wamekua nafasi ya tano Kati ya vyuo sita
Naibu waziri wizara ya elimu amethibitisha Hilo wewe kenge wa jamii forum unapiga kelele kukataa
Juzi nilikua nafuatilia mashindano ya moot Court practice udsm wamekua nafasi ya tano Kati ya vyuo sita
Ni mtazamo wako Mzee baba...Mimi mlnilipiga udsm lakini nilipofika saut nilisanda a see..pia wana course nyingi sana I mean mpaka umalize chuo kwa miaka mitatu ni unit 57+ kutegemea na faculty uliyopo wakati udsm ni units 36+ na hazivuki 50Wengine huwa mnataka kuitwa wapumbavu kwa lazima, Saut ni Chuo cha Kara fananisha na vyuo vya Kata vingine
Pamoja na elimu yangu ya darasa la saba,Law mtu yeyote anaweza graduate mwenye vigezo vya kusoma hiyo course iwe ni sauti ama wapi etc(my opinion)Ila kuja kuwa kama Chenge, sijui prof Ravji ,Kale kajamaa ka Arusha kembamba Albati kama sikosei,Masumbuko Lamwai naona kama ni kipaji binafsi hivii(Individual Talent)Mimi mwenyewe bush Lawyer huwa najitetea mwenyewe mahakamani na siyo Tanzania(its just a talent mzee na kupenda kile unachofanya)Sijui hata kama nimeongea point.....werevaaaaaaSaut IPO vizuri hasa ufundishaji kicontent(wapo realism sana) kuanzia kutengeneza course works mpaka u.e pia grades zao zipo juu kuliko vyuo vya serikali, udsm ilikuwa zamani lakini sasa wapo ki-idealism sana watu wapikapika tu matokeo..no disco kivile
Mfano maridhawa chukua graduate wa saut na graduate wa udsm upande wa sheria( law department) then fanya assessment utapata jawabu yupi yupo deep na competent katika fani ama ndaki take.
Kwa hili tu inatosha kuonyesha kuwa hujui chochote juu ya udsm. In terms of course units, the minimum kwa course za miaka 3 ni 90 na sio 36+ kama unavyosema.Ni mtazamo wako Mzee baba...Mimi mlnilipiga udsm lakini nilipofika saut nilisanda a see..pia wana course nyingi sana I mean mpaka umalize chuo kwa miaka mitatu ni unit 57+ kutegemea na faculty uliyopo wakati udsm ni units 36+ na hazivuki 50
Ni lazima tukiri kwamba UDSM Ni chuo chenye historia kubwa ambayo imekipatia heshima chuo hiki mbali na historia kuilinda hadhi na heshima huleta maana ya historia UDSM wameshindwa kumudu kuilinda hadhi na heshima ya chuo kwa sasa yafuatayo Ni machache ya SAUT na UDSM
Wanafunzi wa SAUT ni very competent kuliko wanafunzi wa UDSM
✓UDSM imeharibiwa na siasa waalimu Bora wameenda kwenye siasa bila kuandaa waalimu Bora wa kurithi
✓SAUT iko very strategic to the moment naibu waziri wa elimu alitamka mwenyewe alipofanya ziara pale SAUT nilimtazama kupitia runinga akitamka mwenyewe kwa mdomo wake kwamba SAUT kwa taaluma kwa Sasa iko Bora Sana Tanzania
✓Nenda school of law tazama idadi ya mawakili wanaomaliza wengi wao wamesoma chuo kipi,bila uongo wengi wanatoka SAUT
✓SAUT ina fundisha multi-skills na co-relating subjects kwa kozi anazosoma mwanafunzi kitu kinachomfanya mwanafunzi kua competent
UDSM kwa Sasa sio ile ya zamani CCM na siasa vimeimaliza UDSM
UDSM ilikua enzi hizo tulia ackson na Prof kabudi wanafundisha
Kilichobaki kwa Sasa ni jina na si hadhi ya UDSM
Hivi SAUT si Seminary au?Kwanini UDSM inawanyima usingizi kiasi hiki?
Watu wa Saut mnapenda kujitutumua, Saut level yenu Makumira University huko sasa Saut unataka kulinganisha na UDSM?[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha utani mkuu, msalimie GENTAMYCINE