Sahivi uko wapi?Naeleza machache kuhusiana na Mimi baada ya maswali ya wadau nilipopost Uzi wa wife kunizingua mchana
Kuna wameniuliza kuhusu umri wangu n.k
Kwa kifupi tu Uelekeo ni baba wa familia ya watoto wanne binti wawili na wavulana wawili
Pia ni Kaka mkubwa yaani last born nikiwa na wadogo zangu watano mzee alishakufa so nasimama Kama baba na natekeleza majukumu yangu vizuri tu toka nimekabidhiwa koti la marehemu baba miaka 7 iliyopita
Nafanya shughuli zangu binafsi nikisaidiwa na vijana wangu kadhaa
Kule church nimepewa ushemasi toka January 2025 na natekeleza vizuri tu wajibu wangu wa kikanisa na naziona dalili za kua made kabisa mbele yangu huko
Kwenye ukoo wazee wameshaanza kunibebesha majukumu na kwa Sasa ni msaidizi wa katibu wetu wa ukoo
Mwaka juzi 2024 nimewakwepa Sana viongozi wa hapa mtaani kwetu manake walitaka kunibebesha majukumu mengine hususan huyu mwenyekiti wetu wa mtaa akisaidiana na balozi wangu
Hakuna kitu napenda na kuthamini kama familia yangu sema huyu mngoni wangu ujuaji mwingi na ubishi bila kusahau gubu la hapa na pale, na kamdomo sijamaliza sentensi moja keshaongea 30 ukinyamaza unamdharau ukiongea unabishana nae
Kuepusha Mambo yasiwe mengi NI kujisogeza tu hapo pub vyupa vipambe meza
Niko hapa jamani Sasa hivi inapigwa ile wimbo "BWANA tupe amani"
HERE WE GO
Alikua Bar, wife wake kamuharibia siku leo, kisa kutumia Binti yake kupakua msosi.Sahivi uko wapi?
Kumbe yupo bar, ngoja nimpigie simu nilidhani yupo pabaya......Alikua Bar, wife wake kamuharibia siku leo, kisa kutumia Binti yake kupakua msosi.
Yaani wewe ni kaka mkubwa, halafu ni last born na una wadogo zako watano? Hii imekaaje, mkuu?Pia ni Kaka mkubwa yaani last born nikiwa na wadogo zangu watano mzee alishakufa so nasimama Kama baba na natekeleza majukumu yangu vizuri tu toka nimekabidhiwa koti la marehemu baba miaka 7 iliyopita
Muelewe tu hivyo hivyo wife kamvuruga sana leoYaani wewe ni kaka mkubwa, halafu ni last born na una wadogo zako watano? Hii imekaaje, mkuu?
😂Muelewe tu hivyo hivyo wife kamvuruga sana leo
Sahivi uko wapi?
Kumbe yupo bar, ngoja nimpigie simu nilidhani yupo pabaya......
Yaani wewe ni kaka mkubwa, halafu ni last born na una wadogo zako watano? Hii imekaaje, mkuu?
Za mwizi ni arobaini, umemnasaYaani wewe ni kaka mkubwa, halafu ni last born na una wadogo zako watano? Hii imekaaje, mkuu?
Utamtumaje mtoto akupakulie chakula wakati mke wako yupo, utakua unamtongoza si bure acha ulevi
Uzi ungependezas ungetuwekea na album ya picha mbalimbali hususani hapo ulipokua unavalishwa hilo la Baba yakoNiko hapa jamani Sasa hivi inapigwa ile wimbo "BWANA tupe amani"
HERE WE GO
Za mwizi ni arobaini, umemnasa
Mtoto wa mwisho wa kiume ndio mkubwa kuliko wote, hivi hukumuelewa Yesu aliposema waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana mdogo ndie alie mkubwa kuliko wote? Wewe endelea kujivuruga tu mimi simoYaani wewe ni kaka mkubwa, halafu ni last born na una wadogo zako watano? Hii imekaaje, mkuu?
Uhalisia haina makosa, Bali uongo, haukosagi makosaNilikosea tu nimesharekebisha