Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

kwanza unajua porn inaingiza hela nyingi kupitia wapi? kama ulikuwa hujui ni kupitia mitandao..... asilimia 70 ya web host za porn zipo marekani hadi hapa usipoelewa basi siwezi kukuelewesha zaidi

watu wanaenda na takwimu sio porojo za vijiweni. acha kukariri

Jaribuni common sense, kama porn industry Ingekuwa na utajiri huo, waigizaji wao wangekuwa mamilionea. Na karibia kila mtu angejiingiza kwenye porn kwa sababu ni rahisi. Acheni kupotosha.
 
Jaribuni common sense, kama porn industry Ingekuwa na utajiri huo, waigizaji wao wangekuwa mamilionea. Na karibia kila mtu angejiingiza kwenye porn kwa sababu ni rahisi. Acheni kupotosha.
Hawajiingiza kwa sababu ya heshima. Try common sense niqqa
 
Kwa hiyo mkuu,hao mamista wako tayari wake zao wakabanduliwe na wengine kama kuna lex steele? Kwa ajili ya kazi!..
 
Dhambi zenu zijapo kuwa nyekundu kama bendera nitazibadili kuwa nyeupe kama theruji asema Bwana Mungu,je wajua unapotazama pornography video unazini na dhambi mbele za Mungu,basi rafiki neema ingalipo tubu ukimaanisha na Mungu ameahidi kusamehe na kusahau kumbuka saa ya wokovu ni sasa ukifa na dhambi(siyo hii tu) utakwenda jehanamu basi ni heri kutubu leo maana nafasi bado ipo na ndio maana bado upo hai.
 
Back
Top Bottom