Macbook pro

Mchana

Senior Member
Sep 27, 2007
183
16
wakuu! ndugu yangu yuko dar anaomba msaada wa kuelekezwa mahali pa kununua laptop ya mac kwa bei nzuri, iwe mpya au used. please saidia
 
Aende ilipo Shaaban Robert Sec School,Upanga, opposite Olympio Primary School, ulizia Elite Computers ndio the one and only genuine dealer wa Mac ila nakuomba usilete habari za bei poa kwenye Mac, kama anataka Mac na anajua anataka nini, must be ready to pay the price.
 
wakuu! ndugu yangu yuko dar anaomba msaada wa kuelekezwa mahali pa kununua laptop ya mac kwa bei nzuri, iwe mpya au used. please saidia

MKUU,napenda kukufahamisha kuwa MAC wametoa OS kwa machine za kawaida, unaweza kuidownload naku-install kwenye pc au laptop yako.
 
Back
Top Bottom