Macbook pro wanted

Macbook pro wanted

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Wadau, wapi nitapata MacBook Pro 15 inch, ikiwezekana iwe ssd na retina display, bei ya dukani imenishinda.
Natanguliza shukrani.
 
Ya mtaani yenyewe unakuta pungufu labda laki 2 si bora urudi ulipokimbia.
 
Ya mtaani yenyewe unakuta pungufu labda laki 2 si bora urudi ulipokimbia.

Asante kwa ushauri mkuu, ngoja tuone huwezi jua bahati yangu, hiyo Apple kwa shop ni kama 4m mkuu, lakini zipo ambazo zimetumika kidogo bei inakua nafuu. Pray for me nahitaji hiyo mashine.
 
Wadau, wapi nitapata MacBook Pro 15 inch, ikiwezekana iwe ssd na retina display, bei ya dukani imenishinda.
Natanguliza shukrani.

Haya kazi kwako changamkia mzigo huo.

Facebook.jpg
 
Wakuu nawashukuru wote kwa ushirikiano, nimepata comp tayari, ni 13" ssd with retina display. Hapa nina instal software ili ni test kazi.
 
Back
Top Bottom