Macbook/Iphone/Ipod/Blackberry/Toshiba Zinauzwa bei poa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Macbook/Iphone/Ipod/Blackberry/Toshiba Zinauzwa bei poa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tumsifu Samwel, Apr 5, 2011.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  • MacBook
   2.4GHz : 250GB
   2.4GHz Intel Core 2 Duo
   2GB DDR3 memory
   250GB hard drive1
   8x double-layer SuperDrive
   NVIDIA GeForce 320M graphics
   Built-in 7-hour battery2
   zipo 4 (brandy new)na kila moja ni TSH 1,700,000
  • Iphone 3G 16GB unlocked, zipo 2 (used) Tsh 500,000
  • Blackberry curve 8310/8320 ziko 2 (used) Tsh 300,000
  • Ipod touch 2g 16gb iko 1 (used) Tsh 450,000
  • Toshiba Satellite P15-S420 (used)
   Windows: 7
   HDD: 160GB
   RAM: 512
   Speed: 3.0 GHZ
   CD/DVD RW
   Tsh 500,000
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwenye Nyekundu zote hizo bei ndio halisi au isije ikawa unaishia kwa fundi kila kukicha ??? Isije ikawa Toy. Fafanua zaidi ni punguzo la hiyo bei au ndo yake du ama kweli kama kweli unaambiwa kuishi kwingi utaona mengi mwaka huu

  Kwenye Blue Mkuu hupatikani kabisa na nimejaribu sana.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Kabla sijapoteza pesa yangu kupiga simu nimestuka na bei hizo!!
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Samahani mkuu, ni typing error tu, nimerekebisha na kuweka bei sahihi mkuu. Napatikana mkuu sema hii mitandao mingine mvua ikinyesha kidogo tu network inapata Kwikwi.
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimestushwa na hasa bei ya MacBook. Isijekuwa unauza mbuzi ndani ya gunia! Bora weka ufafanuzi.
   
 6. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nimeshatoa ufafanuzi mkuu, yalikuwa ni makosa ya kiuandishi tu mkuu, na si vinginevyo.
   
 7. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,167
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280
  Naomba kujua kuhusu iPhone 3G 16GB ni kiasi gani???
  Samahani maelezo ya hapo juu sijayaelewa vizuri.
   
 8. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Amerekebisha wakuu,someni vizuri
   
Loading...