haya ndio matokeo ya illumimati wanao control biashara ya filamu na burudani huo Hollywood. watakutengeza unakuwa nyota,halafu wakishakutumia kwa kuwapatia utajiri,wanakuharibu.(ni wabobevu tu wa maswala ya conspiracy theory wanaweza kuelewa ninacho kisema).
![]()
![]()
![]()
haya ndio matokeo ya illumimati wanao control biashara ya filamu na burudani huo Hollywood. watakutengeza unakuwa nyota,halafu wakishakutumia kwa kuwapatia utajiri,wanakuharibu.(ni wabobevu tu wa maswala ya conspiracy theory wanaweza kuelewa ninacho kisema).
![]()
![]()
![]()
Watoto wanapoanza kupata pesa mapema wanatakiwa kuwa na miongozo thabiti. Ni kama yule sijui mwana muziki kijana anaanzia na J. anapata pesa hajui cha kuzifanyia.
mwenye mawazo ya kijinga ni wewe uliyejilazimisha kuamini nilicho gusia wakati nilisha toa angalio kwenye mabano.Acha mawazo ya kijinga haya.
mwenye mawazo ya kijinga ni wewe uliyejilazimisha kuamini nilicho gusia wakati nilisha toa angalio kwenye mabano.
dogo,siku nyingine uwe unasoma posts za watu kwa umakini kabla ya kukurupuka ku-comment,unaweza jikuta wewe ni mjinga zaidi kuliko unaye mkosoa.
narudia tena; "hii ni kwa wale tu wanaomini na kufatilia conspiracy theories zinazo husu "Illuminati".
kama unajua kusoma lugha ya kingereza na kuelewa kilicho andikwa,bofya hiyo link hapo chini usome kilicho andikwa,kama huwezi vyote,piga kimya:
Educate-Yourself The Freedom of Knowledge, The Power of Thought:How the Illuminati runs Hollywood.
huwezi kusoma vitu vilivyo andikwa ktk lugha ambayo huielewi.period.:biggrin1:siwezi kupoteza muda kusoma mambo ya kufikirika.
Okay whatever you think is better to you cute girl.huwezi kusoma vitu vilivyo andikwa ktk lugha ambayo huielewi.period.:biggrin1:![]()