Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,833
- 9,050
Mambo ya ufugaji wa kware hayo ...Yanasaidia nini?
Unamaanisha ni chakula cha kware?Mambo ya ufugaji wa kware hayo ...
Ina pesa ndefu achana na kwareMambo ya ufugaji wa kware hayo ...
Inatumika kwenye nini au matumizi yake ni yapi?Ina pesa ndefu achana na kware
Haina shida kalime sijui kanunue... Kuna wengine walikuja na ufugaji wa nyoka kuvuna sumu na kuuza watu wakafuga nyoka nyingi mnooo ..... Hizo biashara zenu za mainflencer ni za ajabu sana ...Ina pesa ndefu achana na kware
Nahitaji kukamua mafuta yake kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za vipodoziYanasaidia nini?
AyseeHaina shida kalime sijui kanunue... Kuna wengine walikuja na ufugaji wa nyoka kuvuna sumu na kuuza watu wakafuga nyoka nyingi mnooo ..... Hizo biashara zenu za mainflencer ni za ajabu sana ...
Kwa sasa uwezo wangu minimum at per ni 500kgsUnataka tani ngapi na unanunua kwa kilo au kwa tani
Yakikosekana, mbadala wake unao?Nahitaji kukamua mafuta yake kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za vipodozi
Kwa ambaye mwenye kilo 20 - 50 utanunua? Na 1kg kwa shilingi ngapi?Kwa sasa uwezo wangu minimum at per ni 500kgs
Ila kama prices ikiwa nzuri ni biashara ambayo itatupeleka for years
NtanunuaKwa ambaye mwenye kilo 20 - 50 utanunua? Na 1kg kwa shilingi ngapi?
NdioYakikosekana, mbadala wake unao?