Je unaweza Run Win 7, MacOSX Lion na Ubuntu? Ktkt page wameongelea OSX na Win 7 tu.Njia rahisi ya kuinstall Windows kwenye Mac ni kwa kutumia Boot Camp, Windows na OSX zitakuwa zote zipo installed. Kama unataka Kuondoa kabisa OSX ndo inabidi ufanye kazi ya ziada maana hiyo haiko officially supported.
Apple - Support - Boot Camp