Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,914
- 30,972
Mabweni mawili ya shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya yameungua asubuhi ya leo kutokana na chanzo kinachohisiwa kuwa ni shoti ya umeme.
Wakati moto huo ukitokea, wanafunzi walikuwa madarasani hivyo hawakujeruhiwa na moto huo.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya shule hiyo, vitu vya wanafunzi kama magodoro, nguo na vifaa vingine vimeteketezwa na moto huo.