Mabus ya Kilimanjaro yakamatwa na TRA

Mabus ya Kilimanjaro yakamatwa na TRA

Bado Tahmeed ataendelea kutamalaki sana hii route kutokana na namna anavyotoa huduma zake kwa viwango. Najua kuna watakaojaribu kufananisha Tahmeed na vibasi vingine kama klm na dar xpress
Yani ulinganishe huo uchafu na KLM au Dar Exp?.kwanza hayo Mabasi yenu Tahmeed yananuka UDI mnachoma UDI hivi mnadhani wote ni wachawi au mnaturoga turudi tena
 
Hebu thibitisha acha kulopoka. Weka barua ya TRA inayoonesha wanadaiwa. Otherwise kaa kimya
 
Bado Tahmeed ataendelea kutamalaki sana hii route kutokana na namna anavyotoa huduma zake kwa viwango. Najua kuna watakaojaribu kufananisha Tahmeed na vibasi vingine kama klm na dar xpress
Michina
 
wabongo hawajawahi kujiuliza kwanini hii kampuni hawanunuagi magari yaliyokamilika badala yake wananunua body tu na hivo vingine kufungwa bongo vya kuungaunga, na ni moja kati ya kampuni zinazoongoza kufunga vitu vya malori kwenye bus
Kumbe
 
Hata iweje, sitapanda basi Lingine tofauti na KLM.

Siku moja nilikata tiketi ya TAHMEED, asubuhi nimeingia humo ndani nikashindwa kuhimili hewa ya humo ndani. Wanachoma UDI. Ikanibidi nitafute KLM nikakuta limejaa, nikasubiri niondoke keaho yake.

Sipandi basi lingine tofauti na KLM, na mtu asinipangie maana pesa nalipa mimi.

Tahmeed itasubiri sana kwa KLM, bado watoto sana.
 
Hujazoea AC ndio shida yako kubwa, sasa KLm unapigwa na vumbi ndio raha yako
 
Duh nimefatilia michango ya watu kuhusu hii thread , finally nimegundua kuwa ni mnyukano wa kibiashara baina ya Tahmeed walioleta hii thread na KLM walengwa, sasa nadhani ingekuwa vizuri wange buni njia nzuri ya matangazo kuliko , kutangaza biashara kwa njia hii .vmnatutia shaka kama huu ushindani wa chuki utazidi , unaweza leta madhara hata kwa abiria wenu pia.
 
Hujazoea AC ndio shida yako kubwa, sasa KLm unapigwa na vumbi ndio raha yako
Sawa,kama unayajua maisha yangu sawa kabisa Mkuu. Alimradi wote tu hai, hakuna kingine cha kujivunua zaidi ya Mwingine.

Alafu, it is all about the matter of choices.
Baki na mapepo yako huko
 
Acha hizo, watu walipe kodi halafu kodi itumike kulipa mishahara, posho na ulinzi wa kihiyo Daudi Bashite! No way!
Watu walipe Kodi na hatuna mtu anaitwa Bashite kwenye pay roll ya umma.Huyo Bashite unamjua wewe usitupoteze mda na maswala ya ki SHILAWADU SHILAWADU.
 
wajanja hawapandi mabus ya kuungaunga mikocheni, na sababu kubwa ya kupenda kuungaunga bus zao na mashine za malori ni kukwepa kodi ya kuingiza bus jipya lilikamilika toka nje chakii
 
Bado Tahmeed ataendelea kutamalaki sana hii route kutokana na namna anavyotoa huduma zake kwa viwango. Najua kuna watakaojaribu kufananisha Tahmeed na vibasi vingine kama klm na dar xpress
Dar Express na Kilimanjaro wameota mizizi Arusha na Kilimanjaro mijini na Vijijini sasa huwezi fananisha na Tahemed gari za kuwaka moto njiani kwanza gari za Waarabu kutoana kafara kila mwaka lazima basi iue
 
Back
Top Bottom