Mabus ya Kilimanjaro yakamatwa na TRA

Mabus ya Kilimanjaro yakamatwa na TRA

Bado Tahmeed ataendelea kutamalaki sana hii route kutokana na namna anavyotoa huduma zake kwa viwango. Najua kuna watakaojaribu kufananisha Tahmeed na vibasi vingine kama klm na dar xpress
Hatupandi bus za Waarabu.. Sisi Kanda ya Kaskazini tunatumia bidhaa za Raia wa Ukanda huu. Ni Mwendo wa Klm, Dar express, Ngorika na Metro.
 
Acheni tabia ya kuchafua biashara za wengine......madeni hata kama yapo ni suala la kawaida katika biashara...Huwezi fananisha Kilimanjaro Express au Dar express na ujinga mwingine. Hawa jamaa katika public transport wanajitahidi sanaaa.
 
Niliwahi kupanda Tahmeed mwaka jana mwezi wa 12 baada ya kukosa nafasi kilimanjaro express.Gari yao ni nzuri lakini sikurudia tena maana nilisafiri bila kula njiani maana sehem wanaupaki magari yao kwa lunch ni populated sana kiasi kwamba utakaa kwenye foleni ya chakula hadi muda unaisha bila kula
 
Ujue nchi hiii ina wanafiki sna, kuanzia akili mpka mawazo, hapo katajwa Dar express watu mimacho kodo km midudumizi, ila angelitajwa Tahmeed thread nzima hii kuponda, acheni unyumbu na meno yenu kama wauza ugoro(ndezi)
 
Bado Tahmeed ataendelea kutamalaki sana hii route kutokana na namna anavyotoa huduma zake kwa viwango. Najua kuna watakaojaribu kufananisha Tahmeed na vibasi vingine kama klm na dar xpress
Gooogle bei ya bas moja la klm au Dar express ufananishe na huo uchafu Wa kichina wa tahmeed
 
Back
Top Bottom