Kwani wasimpomfurahia yeye atapungukiwa nini? kwanza siyo wao waliomchagua, yeye anajua kaingia kwa jitihada zake binfsi. Yaani wamkatae halafu aingie kwa jitihada binafsi halafu eti apoteze muda wa kuwatumikia??
Wao ndiyo watakiona cha moto. Kwanza huyo mbunge siyo lazima aishi Mwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.