MABOYA YANAHITAJIKA

MABOYA YANAHITAJIKA

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Hamjambo waungwana, maboya ya kuweza ku-uphold mzigo wa kilo 10 kwenye maji fresh yanahitajika. Kama kuna mtu anajua wapi yanapatikana, tafadhali tuwasiliane private au hapa sebureni
 
Unaweza kuweka sample au unahitaji Kwa shughuli ipi
 
Back
Top Bottom