Maboya katika vivuko vya kwenda kigamboni


terabojo

terabojo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Messages
215
Likes
4
Points
35
terabojo

terabojo

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2010
215 4 35
Wana JF, jana nililazimika kwenda kigamboni kupitia ferry kwa kutumia moja ya kivuko kipya. Ni kikubwa na kinachukua watu wengi pamoja na magari. Wakati tunavuka nilkumbuka ajali ya meli iliyozama hivi karibuni huko Nungwi Zanzaibar na nikakumbuka simulizi za baadhi ya watu walio salilika wakisema maboya katika meli ile hayakuwa ya kutosha kabiasa. Nikatizama maboya yaliofungwa katika kivuko kile na dhahiri hayakufikia hata robo ya watu tuliokuwa mdani. Najiuliza je SUMATRA wanaliona hilo, au ndo litokee la kutokea waunde tume! Tujadili wana JF
 

Forum statistics

Threads 1,236,442
Members 475,125
Posts 29,257,976