time is now
New Member
- Aug 16, 2025
- 4
- 0
HABARI ZA MDA HUU NDUGU ZANGU WAPENDWA...
Nauza vitu hivi tayari kwa matumizi:
1. TV ya Solar 32 inch – , bei: Tsh 170,000 ✅
2. Kioo cha Computer HP 24 inch – Safi, nzuri kwa kazi yoyote, bei: Tsh 110,000 ✅
3. Computer Kali ya Kusimama HP – Core i5-2400CPU @ 3.10GHz, RAM 8GB, Harddisk 500GB, inakuja na kioo + stand ya ukutani, bei: Tsh 500,000 (Machine 6 sata, full setup!) 💻🔥
4. Harddisk TB 15.5 – Zikiwa na movies na series zote, tafsiriwa na zisizotafsiriwa, bei: Tsh 550,000 ✅
HUDUMA ZA ZIADA:
nahakikisha bidhaa zako zinakaguliwa, zikafungashwa kwenye maboks, na zinabaki salama
Banda la biashara ya movies library,lipo mabibo makutano karibu na chuo cha nit,biashara ipo sana haswa ya movies kama kunakijana unataka kujiajiri basi chukua banda na vitu uaze kazi hata kesho kodi bado ipo mpaka mwenzi wa 12 na kodi kwa mwenzi ni tsh 40000,banda ni la mbao njoo hata kesho ukaguwe lipo sehemu safi tena pembeni mwa barabara,ya lami hiyo barabara ya nit,nimezungushia plywood na linasitika safi la movies yani lipa uaze kazi keshooo.
Banda nauza: Tsh 600,000, meza ya chuma ipo ndani ya banda kwa ajiki ya kulock computer,tv kwa usalama zaidi nauza Tsh 80,000.
📞 Wasiliana sasa: 0794 731 251 – changamoto za kimaisha ndo maana nasukuma.
Mungu awajalie maboss zangu wote!
🙏..
Kuna watu humu watasema picha ipo wapi hii biashara ya utapeli,aisee kama upo serious nitafute picha zote za kila kitu nakutumia whatsapp hakuna longo longo picha zipo na location ya google map ipo ili usipotee,karibu sana na Mungu awape wepesi mje kuchukua mali