Mabongo fleva woooote....

Mabongo fleva woooote....

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751
wakate viuno na vikaptura vya, lakini hakuna hata mmoja anayeweza kupiga show kama hii nchi za watu.

 
Last edited by a moderator:
Walifunika sana, kuna tofauti na zile shoo zetu za varandani na za kwenye vilabu vya pombe, hii wamewakilisha
 
Sio wale wengine wanajisifu kila siku eti washafanya show nchi tofauti, ukiona video zao ni maandazi matupu.
Hakuna hata mmoja aliyefikia moto huu wa masela wa uswahilini, hapo kazi kazi tu sio umevaa kijinzi cha dada
ako unakata kata viuno.
 
Hii imekaa vizuri na fundisho zuri sana kwa wabana pua wa hapa bongo
 
hili kundi litafika mbali kama wataendelea na nyimbo za asili yetu , hawa wanajitambua. wanafuata nyayo za tatunane.
wakate viuno na vikaptura vya, lakini hakuna hata mmoja anayeweza kupiga show kama hii nchi za watu.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom