Mabondia wa TZ ,ukimtoa Mwakinyo 96% ni machawa hatuna budi nao kuwafungia vioo. Wana hiyo wanaita Knockout ya mama wanajimaliza sana

Mabondia wa TZ ,ukimtoa Mwakinyo 96% ni machawa hatuna budi nao kuwafungia vioo. Wana hiyo wanaita Knockout ya mama wanajimaliza sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,620
Mabondia wa Tanzania wengi ni machawa wa CCM , tangu waletewe hiyo knockout ya mama wanazidi kujimaliza kumsifia mama abduli na chama chao cha ccm.

Mwakinyo kwenye mkumbo huu kaukataa na mara kadhaa amekuwa akilaani matukio yote ya kihalifu yanayotokea hapa nchini haswa matukio ya kitekaji.

Bora tumuunge mkono mwakinyo kwenye mapambano yake kama tunavyowaunga mkono Ney wamitego, Lukamba, Rosa ree, Roma nk.

Hao mabondia wengine ifike pahala na wao tuwakatae tu hakuna namna.
 
Back
Top Bottom