Hivi kwanin mtu uhaidi af usitekeleze jamani?
Inaboa kama kweli,otherwise labda jina lake liwe limetumiwa bure ... Ili wapate hela.
Vinginevyo anajiondolea uamibifu
kwaani kwenye dini lazima ulipie show kumuona mtu.
ajiondolee mara ngapi? hivi umesikia show za rose mara ngapi kwa sasa, subiri tu, Mungu huwa hadhihakiwi mkuu Swts utaona tu taraaatibu watu wanatupa kapuni. si umeona mwasumbi kafungwa kiaka 30 na alihiti miaka hiyo mbaya kwenye gospel

Neno la mungu Halilipiwi. Hakuna show ya neno la mungu.
Wajinga ndio waliwao.
sasa tutamtofautisha je na waimbaji wa nyimbo za dunia? Kwanza bora wao huwa wanaudhuria baada ya kula chao