jnrs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 505
- 236
kura uwe? Ni ichimboto utanacho?
Hiyo message imemkusudia mutabilwa bhono ighanke ughuntuka mura? Umanye igha nu umuntu mukoro ndenge.
kura uwe? Ni ichimboto utanacho?
Hiyo message imemkusudia mutabilwa bhono ighanke ughuntuka mura? Umanye igha nu umuntu mukoro ndenge.
Wale wa lowasa mbona walikua hawanukishwi mabomu? au intelijensia iliona ndo rais mtarajiwa?Hali ilivyo sasa kama mtu akiangukia kwenye maji, mkitaka kumuokoa kama mko wengi inabidi mtoe taarifa polisi vingenevyo mtatawanywa kwa mabomu, ndicho unachomaanisha
Magari ya kampuni moja yamegongana uso kwa uso.......huyo mtani wenu Mtabilwa ni mjinga
Hahahahahaa, Magari hayajagongana, nilitaka tutambuane kwanza, ili tusije tukaingiliwa na mamluki. Kwa hiyo kibingwa nimeishasawazisha na mkuu jnrs
Ubhuche bhono bhonsekirhi kweeerii weito..Hahahahahaa, Magari hayajagongana, nilitaka tutambuane kwanza, ili tusije tukaingiliwa na mamluki. Kwa hiyo kibingwa nimeishasawazisha na mkuu jnrs
Poleni sana kuishi Tz ni kuweka maisha yako rehani vifo vingi ni man made.