hahahahahahahaha mrema atahara mbaya kama vipi mtikila ndio dili maana yeye alishazoea mawe ya kule tarimeni kweli kabisa,kama mbatia kachemka amtume mrema.
Nipo hapa uwanja wa mashujaa watu wanatawanyika mno,milio ya mabomu inasikika kutoka maeneo ya chikongola..kwahali ilivyo ni kwamba kulikuwa na ujio wa Mbatia mbunge NCCR kafanya mkutano wa hadhara hapa mashujaa,badala ya yeye kusimama kwa hoja yake kwamba gas isihame mpaka wananchi wanufaike ye analeta xtor nyingine,maragas ipo nying tuiache tu iondoke ndipo wananch walipoona analeta siasa wakaanza kumzoea ashuke jukwaan na alipopanda gari kundi la watu wakawa wanaimba wanamfata kwa nyuma huku wakiimba gas haiami mpaka kieleweke..sasa inaonekana hali imekuwa tete mpaka polisi wameingilia kati na kuanza kupiga mabomu,ni usiku cwezi kupiga picha..sorry.
uzoefu wangu ni kuwa miradi mingi inabuniwa na watawala bila kuhusisha watawaliwa.
Mwenzio ndio job description inamfanya aende kuteta huko, vinginevyo atakuwa ameshindwa majukumu aliyopewa.Nae Mbatia si atulie tu na ndoa yake na ccm anahangaika nn au ndio anamtetea mmewe angalia sasa kawachokoza yeye na mabomu wanapigwa wao! Poleni saana Wanamtwara msihini Shemejienu mkishindwa mtumeni Dadaenu
Ni baada ya wananchi kutorizishwa na kauli ya Mbatia na kumuona kama vile katumwa. Mimi nimeshuhudia kundi kubwa la watu likiwa limeizingira ofisi ya NCCR Mageuzi maeneo ya Chikongola ambapo inasemekana Mbatia alikuwa amehifadhiwa ndani hao watu walikuwa wakipiga kelele hawataki Mbatia alale Mtwara na badala yake aende alale Lindi kwa kitendo alichokionyesha. Baadae kidogo Mbatia alifanikiwa kuchomoka kupitia mlango wa nyuma ndipo wananchi baada ya kugundua wakaamua kumfukuza na baadae kuanza kusikia mabomu yakilindima.
msg kwa kikwete utachukuaje gas ya watu na tanzanight ya arusha wangepeleka dar basi hii c fair at all
Mwenzio ndio job description inamfanya aende kuteta huko, vinginevyo atakuwa ameshindwa majukumu aliyopewa.