Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Wanajitahidi sana kukemea sema kuna kigenge cha wahuni hakifuati taratibu na sheria halafu kinandoto ya kupewa kuongoza nchi.Chato na chamwino wamegoma kukemea udhalimu unaoendelea Nchini kote sasa?
Chadema uzeni sera jamani na sio vurugu.
Au vurugu ndio sera yenu.
Ahaaaa ahaaaa nimecheka ile mbaya. Huwa unaleta post ndefu hapa jukwaani na kiingereza cha English course, niliwahi kukuambia kila kitu kina wakati wake. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, sio kwamba ccm haijafanya kitu, bali hiki sio kizazi cha ccm bali ni kizazi tofauti. Namna pekee ya kuifanya ccm iendelee kukaa madarakani sio kuleta maendeleo, bali ni kutumia vyombo vya dola kushurutisha kukaa madarakani.
Ccm naifananisha na mwanamke mzee anayejipamba ili kuvutia wanaume. Kimsingi hawezi kuvutia wanaume, bali itabidi atumie, pesa, ushirikina na mbinu nyingine chafu ili akubalike. Na kimsingi hatukubalika bali ataliwa pesa zake, na bado wanaume watapenda wanawake wenye umri mdogo. Hali ya ccm kupambana na ukweli inazidi kuwa wazi, na kudhibitisha kuwa wakati ni ukuta.
Hatuna Police tuna GESTAPO.Tuna police wapuuzi sana sana!!
Jumla ya wapiga kura 29m,Mmekwisha nyinyi mmebakia domo la kelele. Tarehe 29th October, utaanza kutafuta maneno ya kutunga kama walivyo malaya. Hii kelele imefika mwesho na utapata taabu hata nguvu ya kuandika.
Na mtapigwa kipigo takatifu Cha Mtoto akome, Ni hata itokee mmepata wabunge 10 tuu, kichwa changu atakikuta kariimjee kinaning'inia.
Chama cha Mbowe, Chadomo.
Mmekwisha nyinyi mmebakia domo la kelele. Tarehe 29th October, utaanza kutafuta maneno ya kutunga kama walivyo malaya. Hii kelele imefika mwesho na utapata taabu hata nguvu ya kuandika.
Na mtapigwa kipigo takatifu Cha Mtoto akome, Ni hata itokee mmepata wabunge 10 tuu, kichwa changu atakikuta kariimjee kinaning'inia.
Chama cha Mbowe, Chadomo.
Sio kwa kura boss, ndio maana unaishia kuandika utoto hapa.
🐰🐰 A Rabbit entered a shop and asked: "Do you have carrots?". They said, "no we don't have." The following day the rabbit came to the shop and asked again, "Do you have carrots?" They replied angrily, " We said we don't have carrots, if you come back again asking, we gonna screw a nail in your head with a hammer!" The third day the rabbit came yet again and asked, "Do you have a hammer? They replied, "NO." He said, "What about nails?" They said, "NO." Then he calmly asked, "Do you have carrots?" 🤣😅
Don't let the devil Lissu scare you, Lissu doesn't have anything. Just CCM Magufuli pursues your dreams. 🐰
CCM hawataki amaniMabom hayajawahi kuwa suluhu ya aman, bali haki ndio nguzo kuu ya Iman, ccm wanaotetea amani hawatetei haki, sisi tunaotetea haki tunambiwa tunafanya uchochezi wa kuvuruga amani, msingi au ngozo ya amani ni haki nasivinginevyo.
Kama huo ni ukweli, Kwanini mtumie mbinu chafu za kupita bila kupingwa, kwa kutumia polisi, tume, wakurugenzi na takukuru?! Kama gemu mna uhakika wa ushindi Kwanini mfanye mbinu chafu?Jumla ya wapiga kura 29m,
jumla ya wanachama CCM 15m+, hii ni zaidi ya 50% ya wapiga kura wote
jumla ya wanachama wa chadema 2m,
jumla ya wajumbe wa serikali za mitaa 97%+ (ikumbukwe hawa ndio wenye watu na majirani wema)
Gerald .M Magembe hawa upinzani kuendelea kuwaaminisha waliowatuma eti wataibiwa kura ni utapeli na kuishinda CCM ni ndoto.
Hakuna amani kwa waovu.Chadema uzeni sera jamani na sio vurugu.
Au vurugu ndio sera yenu.
Hakuna siku CCM wametumia mbinu chafu ni hofu yako tuuKama huo ni ukweli, Kwanini mtumie mbinu chafu za kupita bila kupingwa, kwa kutumia polisi, tume, wakurugenzi na takukuru?! Kama gemu mna uhakika wa ushindi Kwanini mfanye mbinu chafu?
Unaye sumbuliwa na Bange/Bangi inajulikana, ndio maana hicho kilevi kinakusababisha kufikisAcha ubwege wewe Yaani Nchi nzima CCM wanafanya hujuma wewe unataka upate taarifa za pande mbili? Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
Mwigulu ni wanasiasa useless sana hapa nchiniYaani Mwigulu na madevu yake anaogopa pingamizi la mwanamke? Hawa ccm vichwa vimejaa maji au?
Hopeless politician.Mwigulu ni wanasiasa useless sana hapa nchini