Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,587
Mashabiki wanataka hela zao baada ya mechi ya TRA na Simba kuahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha huko Arusha.
Askari wakaona njia pekee ya kutatua mgogoro huo wa mashabiki wameeanza kupiga mabomu na risasi za moto.
Nchi hii kila kitu ni matumizi ya nguvu tu.
Soma Pia: Mechi kati ya TRA United na Simba SC yaahirishwa hadi wakati mwingine kutokana na mvua
Mashabiki wa mpira na nyie mpunguze viherehere vya kujipendekeza kwa timu za sisiem