Siyo maandamano ya waislam, ni mpambano kati ya polisi wetu na majambazi waliovamia kutaka kupora pesa kwenye Petrol station - MOIL. Majambazi wawili chali, watatu taabani. Waislam wamepanga kuandamana baada ya sala ya Ijumaa. Nao nadhani wajiandae maana polisi wameeleza wazi kuwa wamejipanga vizuri kupambana na wanaotafuta ugomvi wa kidini.