Mabomu ya machozi Arusha

kaka lugha yako kali!lakini si nina uhuru wa kutoa maoni
kidumu chama tawala,zidumu fikra sahii za mwenyekiti ,gamba oyeeeeeeeeeeeeeeeee


huu uhuru una limit la sivyo hata aliyetengeneza filamu ya kukashifu uislam ana haki pia au sio sasa kwa nini dunia ina waka? tumia uhuru wako vizuri usijitafutie balaa hata kama hukumaanisha sehemu nyingine ni very serious
 
Nchi tulipofika tunahitaji Sharia law angalau mwaka mmoja. Hasa huyu mshenzi ni nani hadi kufanya jeuri hii?
 
huu uhuru una limit la sivyo hata aliyetengeneza filamu ya kukashifu uislam ana haki pia au sio sasa kwa nini dunia ina waka? tumia uhuru wako vizuri usijitafutie balaa hata kama hukumaanisha sehemu nyingine ni very serious
sawa asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi!
 
kuna tatizo katika ubinaadamu wako,hauko sawa sawa.
 
kwanini wameichoma nyumba yake badala ya kumchoma yeye kwanza...nyumba si atanunua nyingine lakini uhai wa mtu haurudishwi.
 
naye muendesha pikipiki hovyo sana ..sasa kilichomfanya asimame na kupiga magoti nini ...mijitu mingine bana
 
Aiseee babaangu raia wanaiga polisi kuuwa

wameniudhi sana paka mbege yangu imekatika kichwani
 
Yaani nikisomaga habari za namna hii donge linanikaba moyoniiii!! ikitokea siku nikipata nafasi niulizwe nataka kubadiri nn kwenye hii nchi? kwanza ntalia sanaaaaaaaaaa...... halafu ntaomba ukoloni urudishwe ili tukaanze kuomba uhuru upya!
 
Ni kweli kabisa dada, mwanadamu ni zaidi ya tumjuavyo ni katili kuliko simba wa Tsavo! Binadamu ni hayawani kikweli kweli anavituko hasa, haamini hata iweje.
RIP kijana binadamu zaidi ya mnyama.....pumzika kwa amani
 
Yaani nikisomaga habari za namna hii donge linanikaba moyoniiii!! ikitokea siku nikipata nafasi niulizwe nataka kubadiri nn kwenye hii nchi? kwanza ntalia sanaaaaaaaaaa...... halafu ntaomba ukoloni urudishwe ili tukaanze kuomba uhuru upya!

aiseeee babaangu sio wewe 2 hata mimi nadhani 2dai uhuru upya

NOT YET UHURU
 
Mimi huwanatamani sana tena sana waje Wajerumani maana hawa makameroni wameharibu sana nchi hii. Mwingereza ameharibu sana taifa hili limekuwa taifa lilojaa watu wanafiki tu!! Utu haupo kabisa


Yaani nikisomaga habari za namna hii donge linanikaba moyoniiii!! ikitokea siku nikipata nafasi niulizwe nataka kubadiri nn kwenye hii nchi? kwanza ntalia sanaaaaaaaaaa...... halafu ntaomba ukoloni urudishwe ili tukaanze kuomba uhuru upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…