Mabomu kwa misafara ya Lowassa!

Mabomu kwa misafara ya Lowassa!

vijana amkeni, huyu lowasa na chadema muogopeni mno, kavuruga ccm sasa ana mradi wa kuvuruga Tanzania yetu kwa hisani ya uchu wa madaraka ya ukawa. vyombo vya dola msisimbembeleze kama walivyokuwa wanambembeleza ccm, amani na utulivu wa nchi at any cost for the public interest.
 
Hivi inaweza tokea siku raia wakawapiga polisi mabomu....???kama ikitokea watakuwa wameyapata wapi hayo mabomu....???polisi wakipigwa mabomu wataumia au watakufa...???je kama wakifa wataoza kama raia wengine....????
 
Mafisadi mnavioja kweli umeandika utumbo gani sasa kama hamtaki kufuata sheria mnategemea nini,mtapigwa tu.

Simiyu;
Kumbe weye ni juha kabisa!!! Dah! Toa asi hiyo tai kwa sababu waweza kujitundika sasa hivi. Mwandishi ameuliza, sheria hii mbona ni kwa upinzani tuu? Makufuli yenu yanapopitishwa huko na huko kwa gharama za Serekali hayo hamuyaoni?? Kuna haja gani kwenda mnazi mmoja ? Alifuata nini nane nane??
Jamani, goli la mkono si kihivyo. Hakika mtaiba kura mpaka mikono ichoke kuiba wala hamtashinda. Leo nilidhani Mwanza wangemshabikia Msukuma kumbe wapi. Mlitumia malori kuwabeba watu kutoka Bariadi, Misungwi etc lakini leo umeiona nyomi ile??
Simiyu, usione aibu, karibu UKAWA tu liache hilo lichama lijifie lenyewe mikononi mwa JK. Acha kujitoa ufahamu, wenye akili weshaamua ni weye tu uliebaki
 
Mafisadi mnavioja kweli umeandika utumbo gani sasa kama hamtaki kufuata sheria mnategemea nini,mtapigwa tu.

Hizi ni dakiaka za mwisho kabisa, Narudia mwisho kabisa kabla ya sisyemu yako kufa mzikane. Bongomaji
 
vijana amkeni, huyu lowasa na chadema muogopeni mno, kavuruga ccm sasa ana mradi wa kuvuruga Tanzania yetu kwa hisani ya uchu wa madaraka ya ukawa. vyombo vya dola msisimbembeleze kama walivyokuwa wanambembeleza ccm, amani na utulivu wa nchi at any cost for the public interest.

Mkuu si ungepiga kimya tu kwani lazima uchangie?
 
Back
Top Bottom