Mabomu Kinondoni mida hii

Nchi hii kuna watu wanaitwa Ffu

Mimi mwenyewe nilihitimu mafunzo ya JKT, lakini nilipomshirikisha ona hawa jamaa ambao hata hawafikii kiwango changu katika mafunzu afu wanawatesa Raia kiasi kile, kiukweli huwa ninawaona kama sio watu wa maana.

Acha uhongo basi JKT si mnajifunza kilimo kule braza!?

Maana hata magufuli, Lowasa na mdogo wangu Annet wamepia JKT nadhani na wao watakuwa wako juu zaidi ya FFU.
 
jkt ulienda kufundishwa kulima nyanya na mchicha na ukakamavu kidogo ili usimpe shemej yako wakati mgumu wa kukutofautisha na dadako hapo unapoishi nae....usijilinganishe na ffu
 
Nchi hii kuna watu wanaitwa Ffu

Yah...hujakumbana nao labda....unakaa wapi...
Na unafanya shuguli zipi mpaka huwajui...sie wazamani tunawaita fanya fujo uone. Kidhungu field force unit
 
Acha uhongo basi JKT si mnajifunza kilimo kule braza!?

Maana hata magufuli, Lowasa na mdogo wangu Annet wamepia JKT nadhani na wao watakuwa wako juu zaidi ya FFU.

Mkuu unenichekesha ulivyomjibu huyu raia, JKT kwenyewe wanaishia kusafisha silaha tu lakini kujua matumizi yake ni marufuku kabisa sasa naona anajifananisha na FFU.
 
Huyu azan ni mbuzi kweli, hivi huyu naye anataka aendelee kuwaongoza watz kweli, sivutiwi na ukawa lakini huyu jamaa ashindwe kabisa tena ni mzigo kwa chama na taifa. Hebu nyie raia wa kinondoni kamchomoeni huko aliko asije akasababisha maafa kwa raia walioamua kumpumzisha, Me naona hata ccm wangeanza kufukuza mijitu kama hii iliyoshindwa kutekeleza majukumu yao ikitegemea mbeleko
 
Back
Top Bottom