Mabomu g/mboto yaibua mengine yaliyojificha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu g/mboto yaibua mengine yaliyojificha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbweka, Feb 25, 2011.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kuna habari kuwa JWTZ imekuwa na upungufu wa wataalamu wa mabomu hasa katika kufanya inspection na Kutoa elimu endelevu juu utunzaji na uhifadhi mabomu yaliyoko ghalani. Hivyo basi imeandaa mkakati wa kuwaita wataalamu walio staaafu ili kuziba pengo hilo hasa katika kufanya inspection ya maghala ambayo hayajalipuka yakiwemo ya Arusha, Shinyanga na DSM.

  NOTE: Hii imenipa wasi wasi mkubwa kuwa huenda vitu vilikuwa vinafanyika kienyeji maana wataalam wengi walishastaafu na pengo leo halikuzibwa. Huu ni uzembe uliokithiri na kusababisha kuahatarisha na kupoteza maisha ya wananchi.
   
 2. D

  Danniair JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eh! ulikua hujui hilo? Pole. sisi wa Mbagala tunajua hayo. Tena kukujuza zaidi ni siku zile wanajeshi walipopewa ruksa ya kuacha jeshi na kufanya shughuli zao wenyewe, kama vile siasa, biashara, n.k. Wengi wa walioacha ni wataalamu hao wa mabomu waliochukulia mafunzo yao urusi. Sasa fikiri ilikuwa lini. Kwa nini bajeti isiongezwe ili wengine wakasomee.
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hizi issue za bomus kila cku sababu mpya zinatolewa.
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu bomus zi mchezo tutasikia mengi, tuulize sie wa mbagala tunajua shughuli yake!!!:A S 13:
   
 5. c

  chetuntu R I P

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio vizuri mwisho tutapata ukweli na serikali atasema lake.
   
Loading...