Mablanketi ya mahoteli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mablanketi ya mahoteli

Discussion in 'JF Doctor' started by Tanzania Mpya, May 7, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Nina wasiwasi kama hawa wafanyabiashara wa mahoteli wanabadilisha mablanketi na kuweka mengine kila mteja anapotoka. Wenye experience na hili namba maoni yenu kwani ni muhimu sana kwa afya zetu.
   
Loading...