Mie nna hilo tatizo kwenye Kabeji (Sijui kama nimepatia jina) tangu mdogo kabisa sielewani nayo kabisa, japo sasa hivi najitahidi kuzipenda na nnaona maendeleo yanaridhisha!!!!!
mwalimu unakosa mengi hasa kwenye kisamvu...kisamvu cha nazi tena kichanganywe na vijimbaazi kwa mbaaaali..lol ntakula mpaka kijungu kilicchopikiwa kipasuke. jitahidi utazoea kidogo kidogo. mie kunde na magimbi mhhh nala tu ila hayapandi katu
Hahahaah magimbi nliKua sipendi basi mama akawa anatupikia ya nazi alafu anapikia na supu ya samaki tasi au changu ilokolea ndimu alafu anaweka na nyanya (tomatoes) weee unakula mpaka unavimbiwa mambo ya ramadhani hayo