Ile ni beach party,ulitaka wavae kama mama Rwakatare kanisani?yaani mdau huoni kwamba zile ni nguo za beach? angalia watu akiwa ktk beach party wanavaaje...acha umbea wa kishamba huo..kwa hiyo ungekuwa wewe ungebaka wale mabinti pale possible unatabia za kubakabaka wewe...shame on u.:A S angry: