Mabinti wenye pua ndefu

ha ha ha ha utakuwa ujui style za kukiss wewe do maana unanyonya pua
 
Heheheee....... Kama zinakushinda hizo ndefu basi wee gangamala tuu na pua mfano wa nukta.!
 
SIjacheka wiki hii kama hii sred, benteke ubarikiwe. Wewe ni genious wa aina yake.
 
ukikua utajua namna ya kukiss kwahiyo hautakua unanyonya pua tena
 
Mambo ya muvi kweli makubwa. Hahaha, haya bwNa. Kwa wasioelewa basi waangalie 3 ------ ndo mtajua mada nyingne humu ni kanjanja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…