AISEE.....
![]()
AISEE.....
![]()
usijali mway kuna mirija. Ila mnanipaga shida sana. sasa nikikutana na mwenye mafua ndio inakulaga kwangu bigtyme.
Mimi natofautiana na akina Mukamasimba,Koba kwenye jukwaa la kimataifa ila kwenye suala la urembo wa dada zao sitofautiani nao kabisa.