Mabinti wengi leo wameumizwa katika mapenzi, wanafanya ngono kuwaridhisha wanaume huku wakimkasirisha Mungu

Na kwa nini ikusumbue? Inaonyesha wewe ndo unapata shida zaidi na jinsi Wanawake walivyoamua kuishi kuliko Wanawake wenyewe, vinginevyo wao ndo wangekuja hapa kulalamika na kulia lia!
Kwani Dada huu ujumbe unakuumiza nini?

Ni ushauri na mtazamo wa mtoa uzi ili atakayeuona wa maana aufuate na atakaouona hauna maana naachane nao.
 
hata dukani before hujanunua nguo huwa unajaribu je inakufit vzr...? kama haikufit unatupa kule unajarb nyingine had utaipata inayokufit fresh....Nadhan nimeeleweka
 
Tukiwapa tunamkasirisha mungu huku nyie mnapokea huku mkimfurahisha mungu sio.
Huko sawa. Story yake iko gender biased. Haya mambo hayafanywi na mabinti peke yao yanahusisha me na ke na hakika wote wanamchukiza Mungu. Ila kwa hapa duniani wanaojuta zaidi ni mabinti.
 
hata dukani before hujanunua nguo huwa unajaribu je inakufit vzr...? kama haikufit unatupa kule unajarb nyingine had utaipata inayokufit fresh....Nadhan nimeeleweka
Siyo kweli labda nguo mtumba/used. Nguo mpya hile waswahili tunaita special huwa haina kujaribu. Imefungwa kabisa unataja size yako unapewa. Ukiruhusiwa kujaribu ujue ni used hiyo mkuu.
 
Huko sawa. Story yake iko gender biased. Haya mambo hayafanywi na mabinti peke yao yanahusisha me na ke na hakika wote wanamchukiza Mungu. Ila kwa hapa duniani wanaojuta zaidi ni mabinti.
Mtusamehe tu ni nature yetu kuwalaumu wanawake, alianza Adam pale Eden.
 
Mkuu, siyo wanaume tu, siku hizi hata kama mwanaume unataka ku- refrain sex kabla ya ndoa binti anakulazimisha na ukikataa anakuona fala anakuacha.
Hii kitu ipo nakubaliana nayo japo watu watabisha..Maana shuhuda mimi mwenyewe
 
Kama unampa ili umridhishe, basi kaa ukifahamu mwanaume si mtu wa kuridhika, mpe Leo, mpe kesho na bado atataka tena.

Kama unampa ili Asichepuke, basi unajidanganya..! Tamaa ya ngono na mwanaume ni kama mapacha wa tumbo moja. Kama Biblia ingeruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, basi ungejikuta wewe ni wa pili (bi mdogo), au ungetafutiwa mke mwenzako kama wewe ndio ulitangulia.
Ni Yesu tu aingilie kati na aushike moyo wake.

Kama unampa ili kudumisha Upendo.. Pole..! Mara baada ya kuona uchi wako, upendo kwa wanaume wengi hupungua, maana unakuwa hauna JIPYA kwake, maana siku mnasex yeye ndio huangalia je wewe mtamu, je una uke mpana au unabana je unamaji mengi au mkavu je unajua kunyonga kiuno baadae ndio anaanza kukulinganisha na Jully, Anna, Angel, Minah, na Felister alio sex nao juzi na jana je una mfikia hata mmoja?

Ndio maana wengi mmeachwa baada tu ya kusex au baada tu ya kusex mtu amekua na mdai ya kua busy lakini kabla hukua hivyo. Angalia utaishia kuweka msiba usiokuwa na waombolezaji. :

Kama unampa ili Akuoe, FIKIRI UPYA..! Chanzo cha ndoa si wewe Kuvua chupi yako, ndoa ni Agano takatifu ambalo mwanzilishi wake ni Mungu mwenyewe. JITAMBUE USIJIRAHISISHE..!

Kama unampa ili ASIKUACHE, Labda nikuambie ni nani unayepaswa kumuogopa..!
Haina haja ya kuogopa kuachwa na mwanaume (asiye na Hofu ya Mungu) maana hana sehemu ya kukupeleka, bali muogope Mungu ambaye aliyeshika maisha yako na mwenye uwezo wa kukuhukumu Katika Jehanum ya MILELE, kwa dhambi hiyo ya Uzinzi unayoifanya. ;
Mabinti wengi Leo wameumizwa Katika Mapenzi, wanafanya ngono kuwaridhisha wanaume huku wakimkasirisha Mungu na wengine hata kuacha IMANI (Wokovu) kabisa.

Ujumbe huu ukasaidie kukutoa kwenye maangamizo ambayo Ibilisi ameendaa kwa ajili yako. "Ndoa bila kuvua Sketi INAWEZEKANA, UKIAMUAView attachment 1228445
Pile sana dada maana kama ndo unawaza hivo jua wazi umeshindikana na sahau kuhusu ndoa sababu hakuna mwanaume atakayekuvumilia kuoshi na wewe
 
Back
Top Bottom