Naomba nijue umri?? Pia elimu zao?? Je kati ya hao yupo tayari kulea mtoto?? Maana mabinti wa sasa hawataki watoto. Pia nahitaji binti kigoli ambaye hamjui mwanaume.
binti kigoli anahusiana vipi na ufanyaji wa kazi mkuu,au unataka mke?
wana umri ganiNaitwa mwalimu James mbonde.kuna Shemeji zangu NEEMA Na zulfa wako tayari kufanya kazi za ndani popote. Wapo hombolo Dodoma kwa mawasiliano call 0689710292
Hv vibinti vikishachokonolewa huwa hufahamu wao wote unahamia chini ni rahisi kutoroka kaz!
hahaha huyu jamaa ni tapeli wa kutisha usijaribu... amewatapeli wana-jf kibao
JMBONDE umeshindwa kabisa kuwasaidia hao shemeji zako waendelee na masomo ukizingatia ww ni mwalimu unajua umhimu wa elimu???
masikini yaani umeingizzwa mjini na uanajeshi huo,,ha ha ahaWadau huyu jamaa ni TAPELI
mi ameshanitapeli pesa nimemtumia
MSITHUBUTU HATA KUMPIGIA
USHAHIDI NI HUU
Naitwa mwalimu James Mbonde. Kuna Shemeji zangu NEEMA Na zulfa wako tayari kufanya kazi za ndani popote. Wapo hombolo Dodoma kwa mawasiliano call 0689710292
Wadau huyu jamaa ni TAPELI
mi ameshanitapeli pesa nimemtumia
MSITHUBUTU HATA KUMPIGIA
USHAHIDI NI HUU
masikini yaani umeingizzwa mjini na uanajeshi huo,,ha ha aha
oooh pole mkuu, ametapeli watu wengi sana hapa jf, mimi nilifanikiwa kumpeleleza vizuri, coz aliniambia nitume nauli nikamwambia asijali kuna mabasi nawafahamu makonda na dereva nitalipia mwenyewe akaanza story eeh wako mbali na eneo la stand nitume 7,000 ya bodaboda nikamwambia asijali kuna mtu wa pikipiki namfahamu aniagize eneo walipo aje kuwafuata akaanza eeeh hawana nguo za kuvaa na bagi la kubebea nguo so nitume hela la bagi.... nikasema oooooh akili za kupewa changanya na zake nikamkimbia mbio...nikajua anataka kuniingiza town..Mdau na mimi nishaliwa na huyu jamaa aisee
Nimekuja kustuka baada ya kusoma hii coment yako
Na kaniblock kabisa
Yan dah.
oooh pole mkuu, ametapeli watu wengi sana hapa jf, mimi nilifanikiwa kumpeleleza vizuri, coz aliniambia nitume nauli nikamwambia asijali kuna mabasi nawafahamu makonda na dereva nitalipia mwenyewe akaanza story eeh wako mbali na eneo la stand nitume 7,000 ya bodaboda nikamwambia asijali kuna mtu wa pikipiki namfahamu aniagize eneo walipo aje kuwafuata akaanza eeeh hawana nguo za kuvaa na bagi la kubebea nguo so nitume hela la bagi.... nikasema oooooh akili za kupewa changanya na zake nikamkimbia mbio...nikajua anataka kuniingiza town..