Mabinti/ wasichana (wanawake)% kubwa wanawatesa wanaume.

Mabinti/ wasichana (wanawake)% kubwa wanawatesa wanaume.

Abraham Bwire

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Nimefanya uchunguzi wakina, nikabaini kuwa, watu wanao ongoza kuwatesa wenzao kimapenzi ni wanawake...japo wanaume wapo pia lakini katika grafu yangu inaonesha wanawake wana asilimia kubwa. Hi ni kwasababu zifuatazo.
1. Akitambua unampenda sana.
2. Tamaa yakutaka kuwa navitu vingi na vikubwa ambapo mwanaume aliye naye hana uwezo wa kumpatia vitu hivyo.
3. Akitambua kuwa mwanaume aliye naye anajua kuwa yeye ni mzuri, na hawezi kupata mwingine kama yeye.
4. Kutotambua niwakati upi anapaswa kuzungumza kipi na kufanya kipi.
5. Kujiamini kupita kiasi
6. Tofauti za kipato katika familia wanazotoka kila mmoja
7. Tofauti ya kipato kwa wao wenyewe.
8. Marafiki walio nao wanaweza kuchangia pia katika upande wa mateso hayo.
9. Kutojikubali wao wenyewe.
10. Kutokuwa na mbinu zakutatua matatizo yanayo wakabili.
 
Yamekukuta?Kama naona manyoya tu vile...keshaliwa?By the way yote haya mkuu yana ukweli sana!
 
Wanawake sisi sisi......? Yote haya tunawafanyia wanaume.....? Ooh Lord of Mercy.......
 
Kikubwa hasa ni tamaa na influence ndo vna changia wanawake wengi kujisahau na kutumia nafac hzo kuwanyanyasa wanaume wnye mapenzi ya dhati kwao.
 
bora hata sie wanawake tuna sababu, wanaume hua hamna sababu mkishafikiria kwa kile kichwa kingine kwisha habari!
 
Natokaje baru, hatakaa anisikie, siyo ya kuendekeza hi mijitu la sivyo presha mpaka unapaa kwa baba.
 
Mimi wanawake wote huwa nawachulia sawa, awe mzuri, awe na pesa, awe mbaya, awe mzee, awe kijana, awe na elimu, au awe maskini kwangu mimi wote ni sawa tu. Ukiwachukulia hivi hawasumbui hata kidogo! + akikukosea mwambie hapo hapo usiweke kitu moyoni = mwambie ukweli hata kama utahatarisha mahusiano yenu.
 
mie nashindwa kuelewa kwa nini wanaume bado wanateswa na hawa viumbe....jamani hawa sii unakamata unagegeda na kusepa zako. papucbi zenyewe for sale hizi
 
i love you more than those factors
 
Nimefanya uchunguzi wakina, nikabaini kuwa, watu wanao ongoza kuwatesa wenzao kimapenzi ni wanawake...japo wanaume wapo pia lakini katika grafu yangu inaonesha wanawake wana asilimia kubwa. Hi ni kwasababu zifuatazo.
1. Akitambua unampenda sana.
2. Tamaa yakutaka kuwa navitu vingi na vikubwa ambapo mwanaume aliye naye hana uwezo wa kumpatia vitu hivyo.
3. Akitambua kuwa mwanaume aliye naye anajua kuwa yeye ni mzuri, na hawezi kupata mwingine kama yeye.
4. Kutotambua niwakati upi anapaswa kuzungumza kipi na kufanya kipi.
5. Kujiamini kupita kiasi
6. Tofauti za kipato katika familia wanazotoka kila mmoja
7. Tofauti ya kipato kwa wao wenyewe.
8. Marafiki walio nao wanaweza kuchangia pia katika upande wa mateso hayo.
9. Kutojikubali wao wenyewe.
10. Kutokuwa na mbinu zakutatua matatizo yanayo wakabili.

Mbona naona point zote ulizo orodhesha zina apper pande zote, yaani zinamuhusu mwanamke na pia zinamuhusu mwanaume.
Ni vizuri kama ungerekebisha heading hata useme "sababu zinazosababisha watu kuwatesa wapenzi wao".
 
mie nashindwa kuelewa kwa nini wanaume bado wanateswa na hawa viumbe....jamani hawa sii unakamata unagegeda na kusepa zako. papucbi zenyewe for sale hizi

huwa napenda sana mtizamo na msimamo wako juu ya wanawake. Kwako wapo kwa ajil ya kuwagegenda tu
 
Back
Top Bottom