Jiggy El Jefe
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 143
- 170
ukiona hvy ujue kashatendwa,, anajishauwa tu na kujifariji,,,,waongo hao , we mwambie tu nakupenda nahitaji kukuowa,, utasikia fuata taratibu zote nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji108] ,, wanajishauwaa tuHivi wale mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa kwa muda huo wakidai bado wanakula ujana.
Ni kweli wanakuwa hawajaamua au hawajapata wa kuwaoa?
Kweli???????????Hayo ni maneno ya mkosaji..
Hakuna binti asiyependa kuolewa, mara nyingi wanaosema hivyo ni walio kosa wa kuwaoa. '
Kama na wewe unachagua utapata tabu sana,hawajapata chaguo sahihi..
duuuhhahhaa,,kuna x wangu leo kanichek katika kuchat akaniambia et "siku hizi waoaji wamepotea" nikamjibu " kama hujakaa kiuolewaj huwez mpata muoaji"