Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
Mabinti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa naye kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.

