Mnatupenda ndio maana katu mada za kutuhusu haziishi, oh wachagga hivi, oh wachagga vile, wachagga bla blah. . .nimekutana na watu wengi wanaomba Mungu wakati anagawa makabila wajikute ni wachagga, so praised for our enterprenurial spirit, family love with strong ties(ushawahi sikia mchagga kakataa mtoto wake au ametupa mtoto?utaskia kwa waswahili tu na 'vyasaka' wengine), high development attitudes, investing in the future,tumesoma, kwetu kuzuri kama ulaya.
In every ten developed native tanzanians of average good wealth 6 must be from the northern circuit, hiyo 4 mnagawana tanzania nzima.
Need I explain any further.
Mtuwache jameni tupumue eeh? Kabila la ki celebrity hili, being a chagga is more than a celeb.