Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,206
- 162,774
Wako wengo tu wa aina hiyo!
Utamkuta kapiga pamba lakini ukiingia nae geto hamu inakuisha.
Utamkuta kapiga pamba lakini ukiingia nae geto hamu inakuisha.
Kama aliye mchafu ni binti mmoja tu aliyekuwa mpenzi wako WHY unajumuisha hata kwa WACHUMBA zetu kama nao ni wachafu?Population sample ya mtu mmoja kweli ina determine kuwa WASICHANA wote TZ zaidi ya mamilion ni wachafu?
dala dala hata vimasomo rahisi kama probability ya discrete na continous umeshindwa ku apply hapa?Mdada mmoja mchafu anajumuisha madada WOTE TANZANIA?Very poor reasoning from probability variance!
Kuwa muungwana waombe radhi hawa madada wa MMU na kwingineko!Jumuisho lako limewavunjia heshima madada wengi mno Tanzania
Me sijaona kama amekosea jaman Alikuwa anatoa tu ushaur, pia bro ww kama mpnz wako ni msafi hii haimhusu kabisa ila yeye alilenga wale wachafu ambao kubal ukatae wapo katika jamiii.pia katika uandishi anasema alimuacha mpnz wake kwa sababu hakutaka kubadilika, t means kwamba alishamrekebisha katika hilo ila imeshindikana.
hivi uende haja ndogo alaf unawe na maji na sabuni alaf ufunike ch..pi huoni huo pia ni uchafu lazima ukishanawa ujikaushe na toilet paper au tishu acha kutudanganya bana lasivyo utabaki na maji maji mwisho wa siku mafangas tu..alaf usafi ni tabia ya mtu usitujumuishe wote.
"mabinti wa siku hizi wachafu wachafu tu"hapo ka generalize mabinti wote
kama issue ni kumsema demu wake angeandika easily kabisa kuwa"mchumba wangu ni mchafu"
kama angependa kuwa exclusive zaidi angeandika "baadhi ya mabinti wa siku hizi ni wachafu wachafu tu"
kama angependa kunyambulisha zaidi angeandika"mchumba wangu(angetaja jina lake)ni mchafu mchafu mno,je wenzangu akina malafyale nanyi wachumba zenu ni wachafu wachafu kama wangu?"!then angesubiri majibu
ajilindie heshima yake kwa kuomba tu msamaha hapa ahahahah
ahahahahahha..hupandana kirahisi..