Mabinti Wa Sekondari Na Picha Za Kihasara!

Mabinti Wa Sekondari Na Picha Za Kihasara!

Allien

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2008
Posts
5,546
Reaction score
1,861

Inasemekana tabia hizi sasa zimekithiri sana hasa katika shule za mabweni.

Je kuwepo katika sekondari za bweni zinachochea mambo haya kutokea?

47099_343535185742014_2016208529_n.jpg
 
aliyewapiga picha na waliopigwa picha wote haki hawana
 
kuwepo kwa shule za bweni siyo tatizo tatizo ni kwamba haya mambo ya utanda wazi yana wafanya vijana wengi wafikili zaidi ngono kuliko maarifa ndiyo maana tunakosa wataalamu maana kama leo yuko shule anafikilia ngono atakuwa mtalaamu kivipi ilihali akili yake iko kingono zaidi?
 
Inasemekana tabia hizi sasa zimekithiri sana hasa katika shule za mabweni.

Je kuwepo katika sekondari za bweni zinachochea mambo haya kutokea?
Mkuu hii ni photoshop, can't you the pixels kwenye mapaja ya hao mabinti bila hata ku-zoom picture?

My views

47099_343535185742014_2016208529_n.jpg

Mkuu hiyo ni ni photoshop, cant'u see the picture is pixelated on the thighs of these ladies?, well it is my view
 
Kama vipi nirudishiwe mchango wangu niliotoa wa kujenga mabweni,
Kha kumbe hii ndio kazi inafanyika bwenini?
Matron Preta uko wapi?
 
Haya mambo yalikuepo toka enzi zile ila kilichoongezeka kwa sasa ni utandawazi na mfumuko wa technolojia hasa simu, kompyuta, digital camera na internet.
 
Inasemekana tabia hizi sasa zimekithiri sana hasa katika shule za mabweni.

Je kuwepo katika sekondari za bweni zinachochea mambo haya kutokea?

47099_343535185742014_2016208529_n.jpg
Hizi picha sio za bongo,inawezekana wakawa wa sauzi hao!
 
Back
Top Bottom