Mabinti wa kitanga

Mabinti wa Tanga mkoa au Tanga Wilaya? Hata hivyo nadhan ni dhana tu au ni kujumuisha.
 
Mabinti wa Tanga mkoa au Tanga Wilaya? Hata hivyo nadhan ni dhana tu au ni kujumuisha.
 
Hahaha my wii Chocs, hao wanaongea kwa kufurahisha mdomo tu.
Kazi twaweza na Majambo vile vile.

Madame B waambie hao naona wanatuonea wivu wanataka kutuchafua wakati kazi twaweza
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Lady Doctor
Handeni sehemu gani maani umemwaga
ngeri huku hatari ?!!
 
Ukipata binti wa kitanga ni marufuku mtambo kusizi/kulala...24/7 anahangaika nao...Tanga hautaondoka kamwe ukijichanganya nao. Kucha na ina ndio zao ukiwapeleka mgombani na kwenye palizi ni dhambi kwao.:A S 576:
 
Wacha nikakate tiketi ya Raha leo weekend hii nikakae huko ila nasikia kuna kibao cha karibu tu hamna cha kwaheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…