Mabinti wa kitanga

Mabinti wa kitanga

Jaman hv n kwel mabnt wa tanga hawapend kufanya kaz...zaid ya mambo ya chumban 2...????

Wanafanya ila wamejikita sana kwenye mambo ya mapenzi zaidi lengo lao likiwa ni kukupagawaisha na usipokuwa makini unaweza ukasahau mpaka ndugu zako.Kuna jamaa yangu mmoja ameo mke wa huko tangu ampate amejitenga na jamii kabisa yeye anachojua ni kupata burudani ya chumbani pekee.
 
Ladydoctor hata iwe waateia ndima zose? wako vizuri lakini sio wachapa kazi.
 
hahahaa... Achakilimilimi sie twasifika kwa ndima soze kuanzia kitandani mpaka kwenkonde

hase ino ikulongwa ya kwamba mwalavya na 0713 nchindedi?
mana nanga njeze yumwenga nkaule umwile wa uko kunyuma.
 
Ni waswahili haswa wadigo na wazigua!

Ukioa dada yao.. yaaani wanhamia kwako wote bila aibu!

Ila mapenzi wanajua!
 
jaman hv n kwel mabnt wa tanga hawapend kufanya kaz...zaid ya mambo ya chumban 2...????

huu ni ujinga ambao umejaa ktk vichwa vibovu kiukweli mabint wa kitanga wako vizuri ktk kufanya kazi na ktk mambo ya kwenye sita kwa sita wanaweza sana so kama una demu wa kitanga we muowe uone mambo yatakavyo kwenda
 
Ni nani yule aliimba kuhusu mabinti wa Kitanga? Anasema "mabinti wa Kitanga ooh, wanapenda kujipamba .... kwa mapenzi utatia nanga.... Hebu mkuu tafuta hiyo CD utapata sifa za mabinti wa Kitanga.
bwana misosi
 
Back
Top Bottom