Jamani naombeni msaada, huu wimbo nafikiri ni wa Bwana Misosi ulitamba sana miaka ya 90,
kama kuna mtu mwenye link ya You Tube anisaidie, link ninayoipata ni hii Bwana Misosi - Mabinti wa Kitanga - YouTube lakini si video ni vocal tu, nahitaji video yake asanteni wote.