B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
hadithi yako inamfundisha nini mtoa mleta thread?Wanawake wanaojua kuheshimu mwanaume na kaka yako akitaka kumla huwa hawakatai ni.hadith tu....
wananukia ki ng'ombe ng'ombe muda wote hata kama hufugi ng'ombe, sasa jiulize anatoa wapi hyo harufu.....😛layball:
hahahahhahaahah!!! umenchekesha sana, eti mgolole....!! ndo nini hyo? au ndo yale mashuka yao? huyo itakua alienda kuchunga ng'ombe mana wamasai weng hawapendi kusoma sijui kwannwanapaka samli mbichi mwilini,kuna mmoja nlisoma nae boarding akawa hataki kuvaa uniform anavaa mgolole yule vituko sana.
Siku akatoroka na mgolole wake sijui aliendaga wapi
hadithi yako inamfundisha nini mtoa mleta thread?
wananukia ki ng'ombe ng'ombe muda wote hata kama hufugi ng'ombe, sasa jiulize anatoa wapi hyo harufu.....😛layball: