B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Ndugu wana Jamiiforums
Kuna rafiki yangu kipenzi ana mpenzi wake wa kimasai, hawana muda mrefu sana katika mahusiano, sasa naona kama vile ana mpango mkubwa na huyo mpenzi wake, sasa anataka kujua tabia generally za mabinti wa kimasai na mila zao ili afanye maamuzi yake.
Please, mwenye taarifa na habari zaidi ya watu hawa karibuni sana.